Kuhusu Sisi

Elimu ya Msingi ya Figo ni shirika la afya lililoanzishwa na mwananephrologia mhindi Dk. Sanjay Pandya. Lengo lake ni kuelimisha watu kwa ujumla kuhusu huduma za figo kuvuka kila mipaka. Kwa sasa linashiriki katika kueneza habari kwa kuandaa vitabu na tovuti kwa ajili ya kuzuia magonjwa ya figo katika lugha mbalimbali.

Hizi tovuti za elimu zimeundwa ili kuongeza uelewa juu ya magonjwa ya figo katika jamii na kuelimisha wagonjwa wa figo na familia zao. Hizi tovuti zinatoa kusoma na kudownload mwongozo figo katika lugha mbalimbali bure kabisa. Ni rahisi kutumia na taarifa iliyo wazi kuhusu magonjwa yote makuu ya figo inapatikana katika tovuti moja, wasomaji watakuta ikiwa muhimu sana.

Timu ya Elimu ya Msingi ya Figo lina wanephrologia na watu ambao wanataka kusaidia na kutumikia wagonjwa wa figo. 

Kidney Education Foundation

Mshauri Mkuu
Dk. Sanjay Pandya
Rajkot, India
Afisa International Ushirikiano
Dk. Tushar Vachharajani
Winston-Salem, NC USA
Afisa Uhusiano Kanda ya Afrika
Dk. Hussein Bagha
Nairobi, Kenya
Kiongozi wa mradi wa lugha ya Kiengereza
Dk. Edgar V. Lerma
Chicago, USA
Dk. Sanjay Pandya
Rajkot, India
Amharic Language Project Leader
Dr. Esete Getachew
Addis Ababa, Ethiopia
Kiongozi wa mradi wa lugha ya Kiarabu
Dk. Dawlat Hassan Sany
Sharjah, Falme za Kiarabu (UAE)
Kiongozi wa mradi lugha ya Kiassam
Dk Parinita Kalita
Guwahati, India
Dk Raman Kumar Baishya
Guwahati, India
Kiongozi wa mradi wa lugha ya Kibangla
Dk. Dilip Pahari,
Kolkata, India
Bi. Pumpa Dutta
Ahmedabad, India
Kiongozi wa mradi wa lugha ya Kichina
Dk. Ho Chung Ping
Hong Kong, China
Filipino Language Project Leader
Dr Elizabeth Angelica Lapid-Roasa
Philippines
Dr Edgar V. Lerma
Chicago, USA
Kiongozi wa mradi wa lugha ya Kifrench
Dk. Abdou NIANG
Dakar Sénégal
Dk. Samira Elfajri NIANG
Dakar Sénégal
Kiongozi wa mradi wa lugha ya Kijerumani
Dr. Hans-Joachim Anders
Munich, Germany
Dr. Seema Baid Agrawal
Berlin, Germany
Kiongozi wa mradi wa lugha ya Kigujarati
Dk. Sanjay Pandya
Rajkot, India
Kiongozi wa mradi wa lugha ya Kihindi
Dk. Sanjay Pandya
Rajkot, India
Dk. Shubha Dubey
Raipur, India
Kiongozi wa mradi wa lugha ya Kiitaliano
Dk. Giuseppe Remuzzi
Bergamo, Italy
Dk. Daniela Melacini
Bergamo, Italy
Kiongozi wa mradi wa lugha ya Kijapani
Dk. Takashi Yokoo
Tokyo, Japan
Kiongozi wa mradi wa lugha ya Kikannada
Dk. Mallikarjun Khanpet
Belgam, India
Korean Language Project Leader
Dr. Yong-Soo Kim
Seoul, Korea
Kiongozi wa mradi wa lugha ya Kikutch
Dk. Sanjay Pandya
Rajkot, India
Dk. Jitendra Bhanushali
Bhuj, India
Dk. Jayanti Pindoria
Bhuj, India
Lao Language Project Leader
Dr. Noot Sengthavisouk
Vientiane Capital, Lao PDR
Kiongozi wa mradi wa lugha ya Kimalayalam
Dk. Jayant Methews
Trissure, India
Malay Language Project Leader
Dr. Hin-Seng Wong
Selangor, Malaysia
Dr. Suryati Yakob
Selangor, Malaysia
Manipuri Language Project Leader
Dr. Sanjeev Gulati
New Delhi, India
Kiongozi wa mradi wa lugha ya Kimarathi
Dk. Jyotsna Zope
Mumbai, India
Kiongozi wa mradi lugha Kinepali
Dk. Sanjib Kumar Sharma
Kathmandu, Nepal
Kiongozi wa mradi lugha Oriya
Dk. R. N. Sahoo
Cuttack, India
Persian Language Project Leader
Dr. Hamid Mohammad Jafari
Sari, Iran
Kiongozi wa mradi wa lugha ya Kireno
Dk. Edison Souza
Rio de Janeiro, Brazili
Dk. Gianna Kirsztain
Sao Paulo, Brazili
Kiongozi wa Mradi wa Lugha ya kipunjabi
Dk. N. P. Singh
Delhi, India
Kiongozi wa mradi lugha ya Kirusi
Dk. Valery Shilo
Moscow, Russia
Dk. Ivan Drachev
Moscow, Russia
Serbian Language Project Leader
Dr. Zoran Paunic
Belgrade, Serbia
Dr. Neven Vavic
Belgrade, Serbia
Dr. Gordana Matijasevic-Cavric
Gaborone, Botswana
Dr. Zoran Petrovic
Belgrade, Serbia
Kiongozi wa mradi wa lugha ya Kisindhi
Dk. Ashok Kirpalani
Mumbai, India
Kiongozi wa mradi wa lugha ya Sinhala
Dk Surjit Somiah
Colombo, Sri Lanka
Somali Language Project Leader


Kiongozi wa mradi wa lugha ya Kihispania
Dk. Guillermo Garcia-Garcia
Guadalajara, Mexico
Dk. Jonathan Chavez-Iniguez
Guadalajara, Mexico
Kiongozi wa mradi wa Lugha ya Kiswahili
Dk. Gabriel L. Upunda
Dar es Salaam, Tanzania
Dk. Bashir Admani
Nairobi, Kenya
Kiongozi wa mradi wa lugha ya Kitamil
Dk. Sampath kumar
Tamil Nadu, Uhindi
M Srinivasan
Chennai,UIndia
Kiongozi wa mradi wa lugha ya Kitelugu
Dk. Krishnan Srinivasan
Hyderabad, India
Thai Language Project Leader
Dr. Kriang Tungsanga
Bangkok, Thailand
Turkish Language Project Leader
Dr. Faruk Turgut
Hatay, Turkey
Kiongozi wa mradi wa lugha ya Kiurdu
Dk. Imtyaz Wani
Srinagar, India
Ukrainian Language Project Leader
Prof. Dmytro Ivanov
Kyiv, Ukraine
Vietnamese Language Project Leader
Dr. Ha Phan Hai An
Hanoi, Vietnam

Other Team Members

tovuti
Vision Informatics
kitabu Kuweka
Jagruti Ganatra
Design
Apurva Graphics